Home » »

PICHA ZAIDI ZA AJALI MBAYA YA GARI ALIYOIPATA MAKONGORO NYERERE LEO HUKO MKOANI KIGOMA

Wananchi wakiwa eneo la tukio ilipotokea ajali hiyo ya gari la Mhe. Makongoro Nyerere.

Chanzo cha Uhakika kutoka Wilayani Kasulu ambapo Gari alilopanda Makongoro Nyerere limepinduka na imeelezwa kuwa kapelekwa hospitali ya wilaya kwa ajili ya uchunguzi. 


Lakini taarifa zilizozipata hivi punde kupitia Jamii Forum zimesema Makongoro nyerere hakuwepo kwenye gari hilo.




Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog