Home » »


Hiroshi Koizumi ,msanii wa Japan ambaye aliigiza katika filamu nyingi za Godzilla amefariki akiwa na umri wa miaka 88.
Kulingana na ripoti,amefariki mjini Tokyo mnamo tarehe 31 Mwezi May kutokana na kichomi ama Pneumonia kwa kiingireza.
Koizumi aliigiza kama Godzilla katika filamu ya Godzilla Raids Again ikiwa ni falamu ya kwanza ya Godzilla iliozinduliwa mwaka uliofuta.
Baadaye aliigiza katika filamu kadhaa za kutisha ikiwemo Mothra,Godzilla vs The Thing na Ghindorah and the Three headed Monster.
Via>>BBC
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog