Home »
» MIAKA HAMSINI YA UHURU WAKAZI WA VIWENGI IRINGA WALIA NA MAJI
 |
Hawa ni wananchi wa kijiji cha lundamatwe kitongoji cha viwengi jimbo
la kilolo mkoani iringa nyambizi la sunrise power nuru fm 93.5 iringa,
Limewatembelea na kuzungumza nao wananchi hawa hakika wanashida nyingi
ikiwemo maji ni tatizo kubwa,
Kama unavyoona picha hayo ndio maji
wanayokunywa na kuoga na matumizi yote licha ya kuwa ni machafu bado
maji haya huisha mapema. na kujikuta wakitumia muda mwingi kutafuta
maji.
Jadili pamoja nami kupitia ukurasa huu au kupitia matangazo ya Radio Nuru Fm 93.5 iringa kesho asubuhi saa 12:30 - 4 kamili.
Wananchi hawa wana viongozi kama..... 1. diwani 2. mtendaji. 3. mwenyekiti. 4. mbunge 5. mkurugenzi 6. mkuu wa wilaya. 7. mkuu wa mkoa. 8. waziri. 9. waziri mkuu 10. Rais. 11. na wengine wengi katika idara zilizopo...
Nani kashindwa kutimiza wajibu wake ili kuwasaidia wananchi hawa kati ya hao hapo juu?
|
0 comments:
Post a Comment