KUTOKA MAGAZETINI LEO KURASA ZA MWANZO.

.
.
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

TAARIFA KAMILI YA AJALI YA BASI KUGONGANA NA LORI NA KUUA WATU 17 DODOMA LEO NA KUJERUHI 56


MAREHEMU NA MAJERUHI WAKIWA KATIKA ENEO LA AJALI BAADA YA AJALI KUTOKEA
Watu 17 wamekufa papo hapo na wengine 56 kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Mpwapwa kwenda Jijini Dar-es-Salaam kugongana uso kwa uso na Lori wilayani Kongwa Mkoani Dodoma leo asubuhi.

Ajali hiyo ambayo imeua madereva wote wawili, imetokea majira ya saa mbili asubuhi katika eneo la Pandambili wilayani Kongwa mita chache kutoka mahali ambako ilitokea ajali iliyosababisha kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tarime Marehemu Chacha Wangwe.

Basi lililopata ajali ni aina ya Scania mali ya Kampuni ya Morobest lenye namba za usajili T258 AVH ambalo liligongana na Lori lenye namba T390 CKT lililokuwa likivuta tela T820 CKU ambalo lilikuwa na shehena ya mabomba.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kwamba chanzo kamili chake n
i uzembe uliofanywa na dereva wa Lori ambaye kwa sasa ni marehemu.



Marehemu Waliotambuliwa ni pamoja na dereva wa loriGabriel Lemanya Mkazi wa Ndebwe wilayani Chamwino,dereva wa basi Said Lusogo, kondakta wa basi Omari Mkubwana Mikdadi Zuberi ambaye alikuwa ni utingo wa Lori.

Wengine ni Justin Makasi, Gabriel Chiwipe, Marick Masawe, Melina Maliseli, Wilson Sudai wote wakazi wa Mpwapwa na watu wawili waliotambulika kwa jina moja moja ambao ni Christina mkazi wa Mpwapwa na Nasibu mkazi wa Kongwa.

Miili ya marehemu wote imehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya Kongwa na wengine katika hospitali ya Mkoa w
a Dodoma, huku majeruhi nao wakilazwa katika hospitali hizo kwa matibabu
BREAKING NEWZZZZZZZZZZZZ
 MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI BAHATI BUKUKU APATA AJALI KIBAIGWA USIKU WA KUAMKIA LEO WAKATI AKIENDA KAHAMA KIHUDUMA KWA MUJIBU WA KATIBU MWENEZI WA CHAMUITA STELA JOEL MAOMBI YAKO YANAHITAJIKA AMEUMIA MGONGO.


BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA (FORM SIX) 2014 YALIYOTANGAZWA HII LEO

Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III.

Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. 

Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825.Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54
 
Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

 

                  HIVI NDIVYO MAZISHI YA OLIDER NJOLE  YALIVYOKUWA.


NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog