Home » »

Kama unapenda kusikia kutoka kwa January Makamba usipitwe na hii Jumapili June 07 2015 Mlimani City Dar.

Maswali 40 Cover Photo
Mbunge wa Bumbuli, Tanga na Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Makamba nae ni mmoja wa walioingia kwenye headlines kwamba na yeye ameingia kwenye list ya wagombea wa CCM kwenye nafasi ya Urais wa Tanzania.
Taarifa nyingine iliyonifikia ni kwamba Naibu Waziri huyo nae ataongea na Watanzania kuhusu hatma ya Uongozi wa Tanzania, itakua ndio nafasi yake kutangaza nia kugombea Urais?
Majibu tutayapata siku hiyo Jumapili June 07 2015 ambapo mazungumzo hayo yatarushwa Live kutoka Mlimani City Dar kupitia TV na Radio ikiwemo Clouds FM.
JM Press Release
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog