POLENI SANA NDUGU ZETU WA ARUSHA KWA AJALI MBAYA  ANGALIA PICHA HAPA
Simanzi zimetanda jiji la Arusha baada ya watu zaidi ya 15 kufa katika ajali iliyotokea eneo la Tengeru. Akiongea na mwandishi wetu mmoja ya mashahidi aliyefika eneo la tukio na hospitali ya Mount Meru amesema ajali ilitokea majira ya saa kumi jioni huko maeneo ya Sadec-Darajani -Tengeru iliyohusisha gari la abiria aina ya Hiace linalobeba watu toka Usa-River kwenda Arusha mjini na Lori la mafuta.Aliongeza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa hiace (gari la abiria) iliyokuwa ikijaribu kupita magari mengine ndiyo akakutana uso kwa uso na lori hilo. Habari kamili zitawajia punde. 









Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo October 28 2014

.
.
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo
pia
kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Mtoto ashukiwa kuwaambukiza wengi Mali

Shirika la afya duniani WHO linasema kwa msichana wa umri wa miaka miwili ambaye alithibitishwa kuwa mgonjwa wa kwanza wa ebola nchini Mali alisafiri kilomita kadha kwa basi nchini humo huku akionyesha dalili za kuugua ugonjwa huo.
Zaidi ya watu 40 ambao walikaribiana naye wametengwa. Huenda msichana huyo alisafirishwa kwenda nchini Mali na nyanyake baada ya mazishi ya mamake nchini Guinea moja ya nchi ambazo zimeathirka pakubwa na ugonjwa wa ebola.
Utawala nchini Mali sasa umethibitisha kuwa msichana huyo ameaga dunia kwenye hospitali moja mjini Mayes alikokuwa akipewa matibabu.
Mwandishi wa BBC anayehusika na masuala ya afya anasema kuwa huenda ikawa changamoto kubwa kuwapata watu wengine ambao walikaribiana na msichana huyo.

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog