Watch Video: Mchezaji Wa Mbao Fc Alivyopoteza Maisha Uwanjani

Ismail Khalfan mchezaji wa Mbao FC chini ya umri wa miaka 20, amepoteza maisha katika michuano ya timu za vijana wa umri chini ya 20 katika mchezo wa mwisho wa round ya 7 Kundi A kituo cha Kaitaba BukobaIsmail Khalfan alikuwa anavaa jezi namba 4 katika mashindano hayo  lakini ndio aliyefunga goli la la kwanza kwa Mbao FCdhidi ya Mwadui FC katika ushindi wa goli 2-0.

Kurasa za Magazeti ya leo; December 5, 2016

Leo December 5 2016 pitia habari zote kubwa  zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,Udaku, Hardnews na Michezo ili uje kinachoendelea.
img_20161205_050123
img_20161205_050135
img_20161205_050148
img_20161205_050200
img_20161205_050212
img_20161205_050225
img_20161205_050237
img_20161205_050249
img_20161205_050308
img_20161205_050318
img_20161205_050329
img_20161205_050339
img_20161205_050350
img_20161205_050401
img_20161205_050412
img_20161205_050423
img_20161205_050434
img_20161205_050445
img_20161205_050455
img_20161205_050505
img_20161205_050523
img_20161205_050539
img_20161205_050550
img_20161205_050601
img_20161205_050617
img_20161205_050628
img_20161205_050639
img_20161205_050649
img_20161205_050659
img_20161205_050709

ASKOFU MKUU WA KANISA LA PENTECOSTE GOSPEL CHURCH AWATAKA WACHUNGAJI KUWA WAAMINIFU.

ASKOFU MKUU WA PGC AKIMIMINIWA MAFUTA TAYARI KWA KAZI YA BWANA.



ASKOFU MKUU WA PGC KULIA AKIWA NA ASKOFU MKUU WA EAST AFRIKA PAMOJA NA MAMA ASKOFU ALPHONCE NKANGA.






Baadhi ya wageni waalikwa wakishuhudia tukio likiendelea la kusimikwa kwa askofu NKHANGA


 Baadhi ya waumini wakimpongeza mama askofu mkuu wa kanisa la PGC Tanzania.



NA denis nyali iringa.

Askofu mkuu wa kanisa la PENTECOSTE GOSPEL CHURCH TANZANIA ALPHONCE KHANGA amewataka wachungaji kuwa waaminifu katika kazi ya MUNGU ili kuitenda kazi yake kwa ufasaha .
Akizungumza mara baada ya kusimikwa kuwa askofu mkuu wa Tanzania wa kanisa hilo amesema kwa sasa watumishi wengi wamekuwa si waaminifu katika kuitenda ya mungu hali inayopelekea wote kuonekana kuwa hivyo na kushindwa kuifanya kazi ya mungu.
                 
NKHANGA ameongeza kuwa si jambo la hekima kwa wachungaji kuandikwa na kuripotiwa na vyombo vya habari kwa kwa matendo ambayo hayambariki mungu bali waandikwe kwa kuihubiri injili na kuokoa roho za watu zilizopotea.
                   
Kwa upande wake askofu mkuu wa kanisa hilo afrika mashariki ZAKHARIA KALANJE amewasihii wachungaji kujiendeleza kimasomo ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya dunia kwa kuwa mungu si wa watu wapumbavu.

Tukio hilo la kusimikwa askofu mkuu wa Tanzania limefanyika katika ukumbi wa new life in Christ wilolesi na kuhudhuria na viongozi wa dini ,vyama na serikali.

Tamasha la Singeli na wanaIringa lilivonoga Ukumbi wa IDYDC

Usiku wa Tarehe 18, November 2016 ulikuwa ni usiku wa Shoo ya Singeli na WanaIringa ulioandaliwa na kituo cha redio cha Nuru Fm ambapo kulikuwa na mashindano ya kuimba na kucheza Singeli.

Mashindano yalikuwa na mvuto wa aina yake, na kulikuwa na kazi ngumu ya kumpata msanii anayejua kuimba kwa maana wote walikuwa ni wakali mno.

Mwishowe mshindi wa kucheza na kwa upande wa mshini wa kuimba walipatikana, ila kitu cha pekee ni kwamba shoo ilikuwa na viongozi wakubwa Tanzania....

Tizama Picha hapo chini.



























NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Search This Blog