Posted by Unknown
Posted on 6:21 AM
with No comments
Al Shabaab wazua mjadala Kenya
Mashambulizi
ya mara kwa mara ya wapiganaji wa Al Shaabab nchini Kenya katika Eneo
la Kaskazini Mashariki, linalopakana na Somalia, limezusha mjadala mkali
miongoni mwa viongozi wa eneo hilo.
Kuna wale wanaotaka wanajeshi wa Kenya wajiondoe nchini Somalia kama njia ya kupunguza mashambulizi hayo lakini kuna wanaopinga.
Mwandishi
wetu wa eneo la Kaskazini Mashariki, Bashakas Jugosday amezungumza na
Mbunge wa Ijara, Ibrahim Abass, ambapo ameanza kueleza jinsi
mashambulizi ya Al Shaabab yalivyoongezeka tangu majeshi ya Kenya
kuingia Somalia.
chanzo bbc swahili
0 comments:
Post a Comment