DUNIA IMEKWISHA! WANAFUNZI DAR WAFANYA MAPENZI NA MBWA KANISANI, PIA WAGEUZANA WAO KWA WAO
NI kweli kabisa dunia
imekwisha! Kanisa la Maombezi la Ebenezer Deliverance la Mbezi ya
Salasala jijini Dar lililo chini ya Mchungaji Benson Shirima limegeuzwa
danguro la kufanyia ‘usodoma’ kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Benaco
waliotoroka majumbani mwao na kukacha masomo.
Wanafunzi wa Shule ya
Msingi Benaco waliotoroka majumbani mwao na kukacha masomo wakiwa ndani
ya Kanisa la Maombezi la Ebenezer Deliverance la Mbezi ya Salasala
jijini Dar.
WAZAZI, WASAMARIA WEMA
Kufuatia kushamiri kwa
vitendo hivyo kwenye kanisa hilo, wazazi wa wanafunzi hao na wasamaria
wema walikwenda kutoa taarifa kwenye Ofisi ya Serikali ya Mtaa
Kilimahewa, Kata ya Wazo, Mbezi Salasala na kuweka bayana kila kitu.
Wanafunzi hao wakiwa katika katika pozi baada ya kunaswa na Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’.
KISA CHA KUTOA TAARIFA
Awali ilidaiwa kuwa,
baadhi ya wanafunzi kwenye eneo hilo walikuwa wakisakwa na wazazi wao
kwani waliondoka majumbani wiki kadhaa kwenda shuleni lakini hawakurudi
na shuleni hawakuwepo.
“Hata walimu walisema
wanafunzi hao hawafiki shuleni na majumbani hawapo. Ndiyo tuliposikia
kuna kanisa limefanywa geto tukaamua kwenda serikalini kutoa taarifa ili
uongozi wa serikali ujipange tukavamie,” alisema mtu mmoja akiomba
hifadhi ya jina lake.
Godoro ambalo watoto hao walikua wakilitumia.
UAMUZI WA SERIKALI YA MTAA
Maelezo ni kwamba, baada
ya taarifa hiyo kufikishwa ofisini hapo, wajumbe wa ofisi hiyo na
vijana wa ulinzi shirikishi wakiongozwa na mwenyekiti wa ofisi hiyo,
Kulthum Juma walikwenda kulivamia geto hilo kwa lengo la
kulisambaratisha.
Wanafunzi wakiwa na mbwa hao.
OFM WAPASHWA
Wakati safari hiyo
ikiandaliwa, mmoja wa wanyetishaji wetu alipiga simu kwenye Ofisi za
Global Publishers, kitengo cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’, Bamaga-
Mwenge, Dar na kuweka bayana kila kitu ambapo bila kuchelewa mmoja wa
makachero wa OFM alitumia usafiri wa pikipiki iendayo kasi na baada ya
dakika chache alikuwa ameshafika Salasala.
Wazazi na ulinzi shirikishi wakiwa katika geto baada ya kuwanasa wanafunzi wanaodaiwa kufanya ngono na mbwa.
Wasamaria wema wakikagua eneo hilo ambalo watoto hao walilkuwa wanalitumia kwa ajili yavitendo viovu.
KILICHOKUTWA GETO
Kama wewe ni mzazi
lazima ushtuke! OFM, wazazi na ulinzi shirikishi walilivamia geto na
kuwanasa wanafunzi wakifanya ngono na mbwa lakini baadhi yao
walifanikiwa kuchoropoka kupitia juu ya paa huku wengine watano
walikamatwa.
WALIOKAMATWA!
Miongoni mwa wanafunzi
waliokamatwa ni; (kwa jina moja kwa sababu maalum,) David, Goodluck,
Joseph, Mrisho na aliyetajwa kuwa kiongozi wao, Juma aliyefaulu darasa
la saba na kuteuliwa kwenda katika Shule ya Sekondari ya Twiga, Dar
lakini akakataa kuendelea na masomo! Inauma sana!
MAAJABU YA MBWA
Katika hali
isiyotarajiwa katika akili za kibinadamu, wakiwemo wazazi wa watoto hao,
mbwa waliokutwa kwenye danguro hilo, kwa kuzoea kuingiliwa na binadamu,
hata msafara huo ulipovamia wao (mbwa) waliendelea kuwasogelea kimahaba
wanafunzi hao.
Mbwa hao walionesha
hisia zao hadharani jambo lililomfanya, Edresi ambaye ni mama mzazi wa
mwanafunzi David kuangua kilio kama mzazi mwenye uchungu.
WAELEZA WALIVYOKUWA WAKIISHI
Baada ya kibano kizito,
wanafunzi hao walianza kueleza jinsi walivyokuwa wakiwaingilia
kimaumbile mbwa hao na jinsi walivyokuwa wakipata chakula kwa kuiba
kuku, mahindi, pesa na vitu vingine mitaani.
WAMTAJA DADA ANAYEWAPIKIA
Wanafunzi hao, walimtaja msichana mmoja aliyefahamika kwa jina la Salome ambaye ndiye mpishi wao kwenye danguro hilo.
MSAFARA KWA MPISHI
Baada ya kumtaja
msichana huyo, msafara huo ulitia timu nyumbani kwa Salome ambaye baada
ya kubanwa alisema alishawahi kuwapikia mara moja.
MCHUNGAJI WA KANISA HILO ANENA
Kwa kutumia namba za
simu zilizokutwa kwenye vipeperushi vya matangazo ya mikutano ya hadhara
ya Neno la Mungu ya kansia hilo na kwenye bango la utambulisho wa jina
la kanisa, kando ya barabara, paparazi wetu alifanikiwa kuzungumza na
Mchungaji Benson ambaye alikiri kulimiliki kanisa hilo.
“Ndugu mwandishi ni
kweli mimi ndiye mchungaji wa kanisa hilo lakini kwa sasa niko mbali na
huko lakini nimeshapigiwa simu hivyo nitakuja kuweka mambo sawa.
“Kama hao wanafunzi
wanaishi humo watakuwa wamevunja na kuingia wenyewe. Vipi, kitanda na
vile vyuma vya jukwaa na vitu vingine umevikuta?” mchungaji alimuuliza
paparazi wetu.
“Vipo baba mchungaji, nimeviona,” alijibu paparazi wa OFM.
MWENYEKITI WA MTAA
Akizungumzia tukio hilo,
mwenyekiti wa mtaa huo aliyeongoza msafara huo aliwaomba wazazi wenye
watoto hao kupima afya zao kwani ilidaiwa kuwa walikuwa wakiingiliana
hata wenyewe kwa wenyewe na kuna uwezekano mkubwa wa kupata maradhi ya
ngono ambayo hupatikana zaidi kwa mbwa na binadamu.
0 comments:
Post a Comment