WAKRISTO NCHINI TANZANIA WAMETAKIWA KUPANGA BAJETI ZA KIROHO SIO ZA KIMWILI TU

        

             
 Wito umetolewa kwa wakristo kote nchini kuweka bajeti za kiroho na sio za kimwili tu kwani kufanya hivyo kuta wasaidia kupendeza mungu na kupata dhawabu kutoka kwake
akizungumza kwa niaba ya mkuu wa wilaya ya kilolo ambaye ndiye alitakiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ya ATASHUKA  kwaya ya revival ya tag ilula mtua jana bw.kiteve amewaasihi wanainchi kuacha kupanga bajeti za kimwili huku wakishindwa kupanga bajeti za kiroho ambako roho zetu zitakuwa huko.
hata hivyo mgeni rasmi aliahidi lakimoja na kumwomba mchungaji kuwa atasaidia kuwashawishi viongozi wengine akiwemo mbunge wa jimbo la kilolo katika kutia moyo kwa kusaidia kwaya hiyo

Mgeni rasmi kiteve mrefu akiwa na mchungaji kiongozi wa kanisa hilo

mwalimu wa kwaya ya revival ya TAG Akiendelea kuwabariki watu  siku ya jana katika uzinduzi wa kwaya hiyo

mwimbaji Dany kyungai akiwaburudisha walio hudhuria katika tamasha hilo


mgeni rasmi akiendelea na hotuba

Maria kilave kutoka ilula akiimba

Mrs wedy kutoka ilula kama kawaida akiwa burudisha watu

YOUTH ALIVE CHOIR CCT MKWAWA WAZINDUA ALBAMU YAO YA PILI YA NJOONI TUKARIBIE KITI CHA REHEMA

Wanakwaya ya youth alive kutoka cct mkwawa baada ya kutamba na albamu ya gusa  ambayo wametambanayo kwa miaka miwili hatmaye siku ya jumapili ya tare 7.4 .2013 katika ukumbi wa ruco mkoani iringa na hizi ni baadhi ya picha ambazo zilipigwa siku ya tukio
             hope kwaya kutoka cct ruco wakiendelea kumsifu mungu
                            thisdaso kwaya kutoka mkwawa wakiendelea kuimba
                                   mwenyekiti wa youth alive akisoma risala
                                        victor andrew papa akizungumza jambo


                               ebenezer mgidange on stage

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Search This Blog