KITUO CHA VIJANA UMATI MTWIVILA IRINGA

Tuesday, July 9, 2013

HABARI PICHA ZA TAMASHA LA HUDUMA MKOBA OUTREACH SERVICES LINALOENDELEA MANISPAA YA IRINGA KATA YA KIHESA NA MTWIVILA CHINI YA KITUO CHA VIJANA UMATI KWA KUSHIRIKIANA NA AMREF

Mratibu wa pamoja tuwalee UMATI Jemida Kulanga Akiwa na waelimisha rika katika meza ya elimu ,habari,  taarifa sahihi, na  ushauri kuhusu afya ya uzazi kata ya kihesa hivi karibuni. 

BI;Mary Biseko Mratibu kituo cha vijana UMATI Mtwivila  akiwafafanulia vijana  umuhimu wa afya ya uzazi



Mtoa huduma wa afya akiendelea kuwahudumia vwateja waliohudhuria katika tamasha la huduma mkoba



Umati wa watu waliofurika kupata elimu burudani za afya ya uzazi katika kata ya kihesa



Sio vijana tu waliweza kushiriki hata babu huyu ambaye jina lake halikujulikana alikuwepo kushuhudia elimu na burudani siku hiyo

Hili ni eneo la ofisi ya kata ya Kihesa tukio lilipofanyikia


HAPA WAKIWA NDANI YA STUDIO YA OVERCOMERS RADIO 98.6 IRINGA
Afisa vijana Manispaa yaIringa bw. HAruna Yassini akiwa na Mratibuwa  Mradi afya ya uzazi ni haki ya kijana Tuitetee BI.Matha Kisweka katika studio tayari kwa kuzungumzia umuhimu wa huduma rafiki kwa kijana

 Bi; Sezaria Mratibu wa afya ya uzazi manispaa ya Iringa wa pili ni Proaches Innocent Afisa Mradi AMREF Wakiendelea kuzungumzia umuhimu wa huduma rafiki kwa vijana

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Search This Blog