Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Tarehe 26 Juni 2015 ...
Magereza yaaswa kuruhusu wafungwa kujiandikisha bvr. JESHI la Magereza nchini limeshauriwa kuhakikisha wanaruhusu wafungwa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kupitia mfumo wa kielektroniki (BVR), unaosimamiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Hatua hiyo ni kuwawezesha kutumia haki yao ya kidemokrasia ya kuchagua viongozi katika uchaguzi ujao. Rai hiyo ilitolewa jana na Mratibu wa marafiki wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Noel Nnko wakati walipotembelea Gereza la Wilaya ya Same na kutoa misaada mbalimbali kwa wafungwa ikiwemo utoaji wa elimu ya kujiandikisha. Nnko ...
Akina Mama Waandamana Kudai miili ya Waliouawa na Askari Kwa Kupigwa Risasi Mkoani Simiyu KINAMAMA kutoka Kata ya Bukundi Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, wameandamana hadi kwa Mkuu wa Wilaya hiyo, Erasto Sima, kushinikiza wapewe miili ya vijana wao wawili waliouawa na askari Mei 29, mwaka huu.   Vijana hao Gineu Gidahasi na Gitienga Gidahasi ambao ni ndugu wa familia moja wanadaiwa kupigwa risasi na askari wa Kampuni ya ulinzi ya Mwiba Holding kwa madai ya kuingiza mifugo eneo pori la makao ambalo kampuni hiyo imewekeza.   Kinamama hao walifika katika...
Lowassa Avunja Rekodi Mkoani Shinyanga.......Wananchi Waumizana Wakigombea Kumuona, Avuna Wadhamini 7,114 Mh. Lowassa, akipokea fomu zilizojazwa na wana CCM waliomdhamini mkoani Shinyanga, kutoka kwa katibu wa CCM wilaya ya Shin yanga mjini Charles Sangula, Juni 11, 2015. Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akipungia mkono wana CCM na wananchi wa Mkoa wa Shinyanga, alipokuwa akiondoka ofisi za chama hicho wilaya ya Shinyanga mjini mara baada ya kupata wana CCM wa kumdhamini .   Mh. Lowassa amabaye yuko kanda ya ziwa kutafuta...
Wakazi Wa Mgao Wamvaa Halima Mdee Kwa Kuwadhalilisha......Wamtaka Afute Kauli Yake KUFUATIA taarifa iliyotolewa  na Waziri Kivuli, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halima Mdee kuhusu utoaji wa ardhi kwa bilionea Alhaji Aliko Dangote, wakazi wa kijiji cha Mgao, Halmashauri ya Mtwara Vijijini wamemtaka kufuta kauli yake. Wakitoa malalamiko yao kwa vyombo vya habari, baadhi ya wakazi wa kijiji hicho ambao walijitambulisha kwa majina ya Seif Said na Mohamed Njiti, walisema kuwa kitendo cha ardhi yao kulinganishwa na kaniki na kipande cha kanga kimewasikitisha. Walisema ...
Mwanamke Atiwa Mbaroni Akituhumiwa Kumuua Mwanae Mchanga Kwa Kumtumbukiza Chooni JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Dainees Fredrick (30), mkazi wa Kambi ya Raha, wilayani Hai, kwa tuhuma za kumuua mtoto wake mchanga muda mfupi baada ya kumzaa kwa kumtumbukiza chooni. Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alifanya kitendo hicho siku moja baada ya kujifungua ambapo alimfunga mtoto huyo wa kiume kwenye kanga na kumweka kwenye mfuko wa plastiki kisha kumtumbukiza chooni. Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Fulgence Ngonyani, katika taarifa yake alisema tukio...
Kortini kwa Kulawiti Mtoto MKAZI wa Mbezi Beach   Dar es Salaam, Tuntutye Mwasyete (25), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na tuhuma za kumlawiti mtoto (jina limehifadhiwa) mwenye umri wa mwaka mmoja.   Mbele ya Hakimu, Lilian Rutehangwa, Wakili wa Serikali Masini Musa alidai   kwamba tukio hilo lilitokea Mei 14 mwaka huu  huko Kawe.   Mtuhumiwa alikana shtaka hilo na  alirejeshwa mahabusu   hadi Juni 24 mwaka huu yatakaposomwa  maelezo ya awa...

MIAKA HAMSINI YA UHURU WAKAZI WA VIWENGI IRINGA WALIA NA MAJI

MIAKA HAMSINI YA UHURU WAKAZI WA VIWENGI IRINGA WALIA NA MAJI
Hawa ni wananchi wa kijiji cha lundamatwe kitongoji cha viwengi jimbo la kilolo mkoani iringa nyambizi la sunrise power nuru fm 93.5 iringa, Limewatembelea na kuzungumza nao wananchi hawa hakika wanashida nyingi ikiwemo maji ni tatizo kubwa, Kama unavyoona picha hayo ndio maji wanayokunywa na kuoga na matumizi yote licha ya kuwa ni machafu bado maji haya huisha mapema. na kujikuta wakitumia muda mwingi kutafuta maji. Jadili pamoja nami kupitia ukurasa huu au kupitia matangazo ya Radio Nuru Fm 93.5 iringa kesho asubuhi saa 12:30 - 4 kamili. Wananchi hawa wana viongozi kama........

MAGUFULI AENDELEA KUSAKA WADHAMINI....ISHU IKAWA KUZUNGUMZIA!!

MAGUFULI AENDELEA KUSAKA WADHAMINI....ISHU IKAWA KUZUNGUMZIA!!
  Waziri wa ujenzi Dkt. John Pombe Magufuri ambaye pia ni miongoni mwa wagombea waliochukua fomu za kuwania mbio za uraisi wa awamu ya tano amesema hawezi kuthubutu kuzungumza chochote mbele ya hadhara ya wananchi katika kipindi hiki kigumu cha kutafuta wadhamini na kwamba kufanya hivyo nikukiuka maadili ya chama cha...
June 10 2015.. Hizi ndio stori kubwa za #Magazeti 17 ya Tanzania leo>> Udaku,Michezo, Dini na Hardnews ...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog