Home » » MWIMBAJI WA JOYOUS ATANGAZA KUTOSHIRIKI UTOLEWAJI WA TUZO ZA AFRICA GOSPEL HII LEO

MWIMBAJI WA JOYOUS ATANGAZA KUTOSHIRIKI UTOLEWAJI WA TUZO ZA AFRICA GOSPEL HII LEO

Wakati hapo Leo ndio kilele cha utolewaji wa tuzo za Africa Gospel Music Awards 2012 mmoja kati ya waimbaji waliokuwa wakitazamiwa kuimba katika sherehe hizo zitakazofanyika jijini London nchini Uingereza ametangaza kutokuhudhuria katika sherehe hizo.

Mwimbaji huyo kutoka katika kundi la Joyous Celebration kijana Mkhululi Bhebhe ambaye alianza kutangazwa kushiriki toka hatua za awali za maandalizi ya tuzo hizo, amefunguka kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema kwamba kutoshiriki kwake kunatokana na sababu zisizoweka kuzuilika. Ukiacha Mkhululi waimbaji wengine wanaotarajiwa kuwepo hiyo kesho ni pamoja na kundi la Makoma, Sonnie Badu, Ephraim Sekeleti na waimbaji wengine kutoka Afrika Magharibi.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog