Home » »

MWALIMU MWAKASEGE KUANZA LEO SEMINA YA SIKU NANE MWANZA KATIKA UWANJA WA FURAHISHA.

Category : 0
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE.

Hivyo tunawaomba watu wote kutoka madhehebu mbalimbali kuja kusikiliza Mungu anasema nini na maisha yetu katika viwanja vile vya Furahisha. Semina itaanza saa tisa alasiri mpaka saa kumi na mbili jioni kila siku kuanzia leo hii. Kwaya na waimbaji wengine maarufu katika uimbaji shambani mwa Bwana watahudumu.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog