Home » » GOSPEL KITAA YANG'ARA TUZO ZA BLOG BORA TANZANIA 2012

GOSPEL KITAA YANG'ARA TUZO ZA BLOG BORA TANZANIA 2012

Baada ya kushiriki kwa mara ya kwanza katika kinyaganyiro cha kutafuta blog bora za mwaka nchini, Gospel Kitaa imeshika nafasi ya pili kwenye kipengele cha blog bora inayohamasisha / huisha 'best inspirational blog', kipengele pekee ambacho GK imefanikiwa kuingia.
Ushindi huu wa nafasi ya pili umekuja ikiwa ni kuanzia mwezi november blog ilikaa sawa na kujifunga mkadna kwa ajili ya kueneza habari na kutiana moyo katika ulimwengu huu kwenye safari ya uzima wa m



Shindano hilo linaloratibiwa na Tanzanian Blog Awards kila mwaka, limetoa tasnia ya nini mawazo ya wasomaji na wapenzi wa blog hii.
Kwa kuwa safari ndio imeanza, tunawashukuru nyote mlioichagua GK, ilhali hakuna hata tangazo lililowekwa awali humu ndani kwa ajili ya kuwaeleza watu namna ya upigaji kura, lakini kwa namna ambayo mmekuwa waaminifu, tuko pamoja, na tutaendelea sana kuwa pamoja, maoni na mtazamo wako kuhusiana na muundo wa blog hii utazidi kuifanya GK iwe faraja la wengi.
Mshindi wa mwaka fulani katika shindano la kutafuta urembo huko Afrika Kusini aliwahi kusema, "aspire to inspire before you expire", kwa lugha rahisi yamaanisha (tamani kuwa hamasa kabla hujaishiwa na nguvu), na pia mwanamama Alice E. Clark, katika shairi lake la My Influence, amesema kwenye beti ya kwanza na ya pili kuwa, "My life shall touch a dozen lives, Before this day is done" kwa tafsiri rahisi ya lugha ya kiswahili, yamaanisha kuwa, "Kabla siku ya leo haijaisha, maisha yangu yatagusa maisha ya wengi".

Kwa falsafa hii, GK tunataka tukuguse na kumtwalia Bwana Yesu utukufu, kwa maarifa aliyotujaalia wanadamu, na kama kwa namna yeyote ile umeshaguswa na GK, tafadhali usisite kutuandikia, maana tukisikia shuhuda kutoka kwako, hakika tunapata nguvu na ari ya kuendel

Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog