Home » » Mwanamuziki Wa Injili Gee Maarufu a.k.a Gee Gospel Aaandika Barua Nzito Kwa Mama Yake "Barua Kwa Mama"

Mwanamuziki Wa Injili Gee Maarufu a.k.a Gee Gospel Aaandika Barua Nzito Kwa Mama Yake "Barua Kwa Mama"

Mwanamuziki Wa Muziki wa Kizazi Kipya katika Injili "Gospel Hip Hop" Gedfrey Benjamin alimaarufu kama Gee Maarufu or Gee Gospel hivi karibuni anatarajiwa kuachilia Video Yake Ya Wimbo wenye jina la "Barua Kwa Mama".  

Katika Wimbo huo Gee Maarufu ameamua "kufunguka" na Kumwandikia mama yake barua ili kutoa duku duku lake la ndani sana ambalo amekaa nalo kwa muda mrefu pasipo Mjuza Mama Yake.

Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog