Home » » MASANJA AWAPAGAWISHA WAKAZI WA MWANZA

MASANJA AWAPAGAWISHA WAKAZI WA MWANZA

Masanja Mkandamizaji awapagawisha maelfu ya watu katika mkutano unaendelea katika viwanja vya furahisha Mwanza.


Wakazi wa Jiji la Mwanza waliohudhuria jana katika mkutano huo wamepata fursa ya ya kushuhudia show ya bureeeee toka kwa Masanja Mkandamizaji toka kundi maarufu la Ze Comedy Original toka Dar ambaye ni mmoja wa waimbaji watakaokuwa wakiimba na kuupamba mkutano huo unaondelea hadi siku ya jumapili wiki hii.
Japo ilikuwa ni jioni ambapo mahubiri yalikuwa yamemalizika huku Askofu Dr Moses Kulola akiwa ndo anashuka Madhabahuni, ghafla akatokea Masanja mkandamizaji na kumlaki Askofu Dr.Moses Kulola kwa shangwe nyingi na vicheko vya kutosha.

Baada ya saalaam Masanja mkandamizaji alipanda jukwaani na na kuanza kukandamiza masongi yake na kuamsha shangwe kubwa saaaana iliyowafanya hata wakazi wa Mwanza kukusanyika kwa wingi licha ya wengi wao kuwa tayari walikuwa wameshaanza kuondoka. 
 
Tukio zima lilikuwa kama inavyoonekana katika picha hapa chini
Masanja Mkandamizaji akiwasili uwanja wa Furahisha majira ya saa 12 jioni

 

Masanja Mkandamizaji akifurahia jambo na Mchungaji Seth Nkomwa
Mkandamizaji akiwa na Askofu Kulola

Mmoja wa watu walioponywa matatizo ya Uziwi akitoa ushuhuda wa kupona baada ya maombezi toka kwa Askofu . Dr Moses Kulola






Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeezzzz

Mpo furuuuuuuuuuuuuuuuu

Masanja Mkandamizaji akikandamiza moja ya songi lake lijulikanalo kwa jina """NIKO BUSY""



Hapa ilikuwa ni full shangweeee toka kwa Mashabiki....


Pastor Gwamwanza akiteta jambo na Masanja mkandamizaji



Niko busy eeeeeeeh na Yesuuu






Askari wa Yesu wakipiga patrol uwanjani.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog