Home » » MWAKILISHI PEKEE WA TANZANIA KWENYE TUZO ZA AGMA AFRICAN MUSIC AWARD KURA HAZIJATOSHERESHA KUMWEZESHA KUSHINDA

MWAKILISHI PEKEE WA TANZANIA KWENYE TUZO ZA AGMA AFRICAN MUSIC AWARD KURA HAZIJATOSHERESHA KUMWEZESHA KUSHINDA

Usiku wa kuamkia leo jijini London nchini Uingereza kumefanyika utolewaji wa tuzo za Africa Gospel Music Awards AGMA 2012, ambapo katika tuzo hizo Tanzania ilikuwa inawakilishwa na mwanamama Christina Shusho katika vipengele viwili ambavyo hata hivyo kura hazikutosha za kumfanya aondoke na tuzo hizo.

Ambapo waimbaji kama Emmy Kosgei wa Kenya, Solly Mahlangu wa Afrika ya kusini, Rebecca, Sonnie Badu, Jabu Hlongwane, Joyous Celebration, Pastor Patrick Duncan na waimbaji wengineo waliweza kuibuka na tuzo usiku wa kuamkia leo. Kwa habari zaidi pamoja na picha za tukio lilivyokuwa endelea kutembelea BLOG HII
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog