DAVID ROBERT: Mkali wa Injili anayetesa Channel O na MTV base KATIKA miaka ya nyuma muziki wa Injili ulidharaulika sana na mtu alipoonekana akiimba muziki huo alionekana kama kituko kwa sababu hakuna aliyekuwa anaguswa na nyimbo hizo. Si kwamba kipindi hicho hapakuwa na waimbaji wazuri wa muziki huo, la hasha walikuwepo tena waliokuwa wanafanya vizuri pengine kuliko waimbaji wa leo wanaoimba nyimbo za Injili. Katika miaka hiyo kulikuwa na waimbaji kama Ephraim Mwansasu, Faustine Munishi, Mungu Four, Ency Mwalukasa, Jeniffer Mgendi na baadaye akajitokeza mwimbaji kama Cosmas...

WATANZANIA NI WAKATI WA KUOMBA

WATANZANIA NI WAKATI WA KUOMBA
MAELFU WAJITOKEZA KUFANYA MAOMBI YA TOBA KWA TAIFA JIJINI ARUSHA HII LEO Maelfu ya wakazi wa jijini Arusha, wamekusanyika siku ya leo katika uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abed Karume jijini humo kwa ajili ya kufanya maombi ya toba kwa ajili ya taifa, maombi hayo ambayo yameratibiwa na makanisa mbalimbali mkoani humo yamevuta umauti huo ambao umeweka rekodi kwa tukio kama hilo. Kati ya vitu ambavyo vimeonekana kuwagusa watu wengi ni kitendo cha baadhi yao kuamua kuvaa magunia na kumlilia Mungu ili apate kulisamehe taifa, serikali na watu wake, ambapo licha ya watu hao pia wachungaji...
UMOJA WA MAKANISA DAR ES SALAAM KUMLETA DON MOEN. Umoja wa makanisa ya Dar es salaaam ukishirikiana na shirika la kimataifa la LUISPALAU association,liko kwenye mikakati la kufanya tamasha kubwa la injili la upendo maeneo ya Jangwani kuanzia mwezi wa nane hadi mwezi wa 12 mwaka huu, na tamasha hili litafanyika jijini Dar es salaam kama sehemu ya mfululizo wa matamasha ya jinsi hiyo ambayo shirika hilo imekuwa ikiyaendesha katika miji mikuu kadhaa barani Africa. Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo,iliyoundwa na makanisa mbalimbali jijini hapa,tamasha hilo litawaleta...
KWA TAARIFA YAKO - LICHA YA KUPATA MCHUMBA MALOPE HATAKI NDOA, PIA AFADHILIWA KWA KUPIGWA MAKOFI NA WAIMBAJI WAKE Haya msomaji wetu wa Gospel Kitaa karibu katika kipengele chetu cha ''KWA TAARIFA YAKO'' ambacho kinakujia kila siku za alhamisi ndani ya GK kikiwa na lengo la kukupatia habari ambayo iliwahi kutukia lakini yawezekana huijui pia yawezekana ilitukia ukawa unaijua lakini GK ikawa imesahau mahali au kuna sehemu haina usahihi utapata fursa ya kusahihisha kwa kuweka comment yako chini kabisa kwenye habari husika. Karibu Rebecca akiwa na mchumba wake bwana Tshabalala walipokuwa...
IRINGA KWA MARA YA KWANZA WAWAKUMBUKA MASHUJAA Mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt Christine Ishengoma ( wa tatu kushoto) akiwa na viongozi wengine katika bustani ya manispaa ya Iringa wakati wa kumbumbuku ya mashujaa KimkoaHawa ndio mashujaa wetu waliokumbukwa leo Iri...
FAUSTIN MUNISHI (MALEBO) APANIA KUGOMBEA URAISI TANZANIA ''Mimi mchungaji Faustin Munishi. Natamka kwamba Nitagombea Urais Tanzania bila chama cha kisiasa. Nitakuwa Mgombea Huru bila siasa. Nitakapokuwa Rais Nitagawana madaraka na Jeshi, pia wadau wote hasa wapiga kura. Ukiritimba wa CCM kutumia madaraka vibaya utakuwa kwenye kaburi la sahau. EE MUNGU NISAIDIE NIONGOZE TANZANIA. NIPE HEKIMA NIJUWE JINSI YA KUWAONGOZA WATU WAKO WALIO WENGI TANZANIA. AME...
Kundi la Ambassadors of Christ Choir kutoka kanisa la wasabato Remera jijini Kigali nchini Rwanda, linategemea kuingia nchini Kenya kwa mara nyingine mwaka huu ikiwa ni mwaliko wa kwenda kushiriki kambi za kikristo zinazoandaliwa na kanisa hilo katika nchi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa ambazo GK imezipata ni kwamba kwaya hiyo itakuwa nchini Kenya kuanzia July 26 hadi 30 mwaka huu huko Migori eneo la Awendo. Itakuwa mara ya pili kwa kwaya kwa mwaka huu kufanya huduma nchini Kenya ambapo walikuwa huko mapema mwezi wa tano, kwasasa kwaya hiyo inatamba na album mpya waliyoitoa...
MWIMBAJI WA KUNDI LA THE VOICE LA JIJINI DAR ES SALAAM APATA AJALI Mwimbaji wa kundi la The Voice linaloundwa na vijana watano aitwaye Obedi John Mark amepata ajali jana usiku majira ya saa tatu maeneo ya Sinza Kamanyola, akiwa anatumia usafiri wa bajaji. kupitia ukurasa wao wa Facebook kundi hilo limetoa ujumbe huu;-''Mwimbaji mwenzetu Obedi John Mark amepata ajali maeneo ya Sinza Kamanyola, akiwa na usafiri wa bajaji akiwa anaelekea Magomeni...Kwa sasa hali yake si nzuri yuko chini ya uangalizi wa Daktari Mvungi ndani ya Hopitali ya Kinondoni na ameumia sehemu za Kichwa, wapendwa...
BREAKING NEWS....WALI WA SHEREHE WAUA MMOJA 40 HOI IRINGA Wahanga wa tukio hilo wakiwa hoi kituo cha afya Ipogolo IringaMganga mfawidhi wa kituo cha afya Ipogolo Dkt mary Makundi Mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Ibofye wilaya ya Kilolo Godfrey Mtete (kushoto) akiwa na mgonjwa mwingine ktk kituo cha afya Ipogolo walikolazwa kwa kula chakula chenye sumu MTU mmoja mkazi wa kijiji cha Ibofye wilaya ya Kilolo mkoani Iringa amefariki dunia na wengine zaidi ya 40 wamelazwa katika Hospitali mbali mbali za mkoa wa Iringa kikiwemo kituo cha afya Ipogolo na Hospital...
BREAKING NEWS.....AJALI YA BASI LA TONY SLEY YAUA RAIA WAWILI WA ZAMBIA NA MTANZANIA MMOJA IRINGA ,38 WAJERUHIWA Majeruhi wa basi la Tony Sley Bi Agnesy Lukasi akiwa na mtoto wake Dina Lukasi (4) wakisubiri kupewa matibabu katika Hospital ya mkoa wa Iringa baada ya kufikishwa hapo usiku huu wakitokea eneo la ajali mlima wa KitongaHili ndilo basi la Tony Sley ambalo limepata ajali usiku wa leo na kuua watu watatu na kujeruhi 38Majeruhi wa ajali hiyo wakipelekwa wodini katika Hospital ya mkoa wa IringaMajeruhi Vedastus Benjamin (11) mkazi wa Tunduma akisubiri kupewa...
MWANDISHI WAPO RADIO KUAGWA LEO KIJICHI Mwili wa mtangazaji na muandaaji msaidizi wa Michezo wa WAPO Radio FM, Joseph Pancras Mapunda utaagwa leo nyumbani kwake Mtoni Kijichi - Bujonga kuanzia saa nane mchana, baada ya kufanyika ibada. Ratiba nzima ya shughuli iko kama ifuatavyo. Saa 5 - 6:00 Mchana   -   Chakula Nyumbani kwa Marehemu Saa 6 - 7:00 Mchana   -   Mwili wa marehemu kuwasili nyumbani Saa 7 - 8:00 Mchana   -   Ibada - nyumbani kwa marehemu Saa 8 - 9:00 Mchana   -   Kuaga mwili wa marehemu Saa...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog