Home » » Halmashauri ya wilaya ya kilolo mkoani iringa imepitisha rasimu ya bajeti ya bilioni 47,68,558160 katika mwaka wa fedha 2015/2016 itakayotumika katika miladi mbalimbali ya maendeleo.

Halmashauri ya wilaya ya kilolo mkoani iringa imepitisha rasimu ya bajeti ya bilioni 47,68,558160 katika mwaka wa fedha 2015/2016 itakayotumika katika miladi mbalimbali ya maendeleo.

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA KILOLO KATIKA KUSHOTO NI MKUU WA WILAYA WAKIWA KATIKA MOJA YA VIKAO WILAYANI HAPO

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO BI RUKIA 
 AKITAFAKARI JAMBO


Halmashauri ya wilaya ya kilolo mkoani iringa imepitisha rasimu ya bajeti ya  bilioni   47,68,558160 katika mwaka wa fedha 2015/2016 itakayotumika katika miladi mbalimbali ya maendeleo.
Akizungumza na nuru fm mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya kilolo ambaye pia ni diwani wa kata ya image  Joseph Muumba amesema.


Aidha amesema kuwa katika rasimu hiyo wametoa kipaumbele kwenye miundominu hususani katika barabara ambazo ni muhimu kwa uzalisha wa pato kwa halmashauri..

Hata hivyo ametoa wito kwa wanainchi kufanya kazi kwa umoja ili kuleta maendeleo katika wilaya hiyo.


Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog