Home » »

MAKUBWA..!! HII INAHUSU WANAFUNZI KUPIMWA KAMA WAMEWAHI KUFANYA MAPENZI,KAMA YES! INAKULA KWAKO

6ef9378d-5e3a-4984-8335-a59a049a0941-1020x612
Ni zaidi ya mara tatu kumekuwa na mijadala ndani ya Bunge la Tanzania tumesikia ikijadilia kuhusu njia ambayo itaweza
saidia kutafuta suluhu ya kudumu kwenye ishu ya tatizo la wanafunzi shule za Msingi na Sekondari kupata ujauzito.

Leo nimekutana na hii story nikajua kwamba kumbe tatizo hili sio la Bongo peke yake, Indonesia wao wameenda mbali zaidi, Jimbo la Java Mbunge mmoja alitoa pendekezo la kuwa na utaratibu wa kuwapima wanafunzi wa kike wanaomaliza shule za Sekondari kama wamewahi kukutana kimwili na wanaume, iwapo yoyote anakutwa kwenye hali kwamba aliwahi kukutana na mwanaume basi safari yake kimasomo itaishia hapo hatoruhusiwa kuendelea na masomo.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog