Home » »

ROBERTO MARTINEZ ALALAMIKIA MAAMUZI YA REFA DHIDI YA GARETH BARRY

                                                                   James McCarthy tangles with Branislav Ivanovic 
ivanovic akiamulia ugomvi  
Branislav Ivanovic grabs James McCarthy in a headlock
   ivanovic akimkaba James McCarth 
Roberto Martinez anena ya kwake kuwa  licha ya chelsea kushinda goli 1 lililofungwa na willian dk 85 jana dhidi ya everton lakini wachezaji wa chelsea walikuwa ndio chanzo cha mchezaji wa everton gareth barry kupewa kadi nyekundu hii ni baada ya ya kuoneshwa kadi mbili za njano,lakini ilionekana wachezaji wa chelsea kumzonga refa ili kulazimisha maamuzi yaliyomkuta gareth barry.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog