Home » »

HATARI!!!!AUAWA KWA KUKATWA NA JEMBE NA NDUGUYE KISA UGOMVI WA SHAMBA!.

Jeshi la polisi mkoa wa iringa linamshikila mtu mmoj aliyefahamika kwa jina laNaftari kange [20] kwa tuhuma za kumwua ndugu yake Lati gange miaka [40] wote wakazi wa kijiji cha negabihi kata ya magulilwa wilaya ya iringa
tukio hilo limethibitishwa na kaimu kamanda wa polisi mkoa wa iringa pundensiana protas,
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog