Home » »

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI IDODI AMKIMBIA MBUNGE CHIKU ABWAO.




MBUNGE AMBWAO AKIANGALIA BAADHI YA VITU VILIVYOTEKETEA






habari na fred mgunda

Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema CHIKU ABWAO ametoa msaada wa shiringi milioni moja katiak shule ya sekondari ya idodi iliyopata ajali ya moto siku tatu zilizopita.

Akiwa katika eneo la tukio mbunge wa CHIKU ABWAO ameishauri serikali kujenga mabweni kwa mtindo wa kuwawezesha  wanafunzi kuishi kumi katika bweni moja tofauti na sasa ambapo wanafunzi wanaishi zai ya mia na ishirini katika bweni moja.

Lakini pia mbunge huyo alisikitiswa na uongozi wa shule hiyo kushindwa kumpokea kama mbunge na mama aliyeguswa na ajali ya moto katika shule.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog