Kundi la wapiganaji la Islamic State
limetoa taarifa kusema kuwa lilifanya mashambulio ya mjini Paris Ijumaa
usiku ambapo watu kama 127 waliuwawa.
Rais Hollande ameelezea
mashambulio hayo kuwa kitendo cha vita vilivotangazwa na IS ambao
alisema walipata msaada kutoka ndWanaume wanane waliovaa vizibau vyenye mabomu walikufa kwenye
mashambulio hayo katika sehemu sita mbalimbali za mji mkuu wa Ufaransa.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula



0 comments:
Post a Comment