Home » » WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA MKOANI IRINGA KATIKA MATUKIO TOFAUTI.

WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA MKOANI IRINGA KATIKA MATUKIO TOFAUTI.



Watu wawili mkoani Iringa wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti akiwemo kijana mmoja kuuwawa akiwa anaiba spika ya redio.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa iringa RPC RAMADHANI ATHUMANI MUNGI amesema kuwa tukio hilo limetokea katika klabu cha pombe eneo la mpogole kata ya mkimbizi mkoani hapa.

Katika tukio la pili kamanda MUNGI amebainisha kuwa  kumetokea ajali ya gari katika eneo la RUNGREMBA njia kuu ya iringa mbeya na kusababisha kifo cha EMRASI FRANK.

Wakati huohuo kamanda MUNGI ameongeza kuwa jeshi la polisi linamshikilia PETER MPOGOLO kwa kosa kujichukulia sheria mkononi na kuwataka wananchi kufuata sheria na si kumuua mtu.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog