Home » » Kassim Majaliwa Aidhinishwa na Wabunge Kuwa Waziri Mkuu kwa Kura 258

Kassim Majaliwa Aidhinishwa na Wabunge Kuwa Waziri Mkuu kwa Kura 258

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,mchana wa Alhamisi hii Limempitisha Kassim Majaliwa kuwa Waziri mkuu mpya.
Kuthibitishwa kwa uteuzi wake kumetokana na kura za ndio na hapana zilizopigwa na wabunge.
Mh. Majaliwa amethibitishwa na wabunge kuwa Waziri Mkuu mteule kwa kupata kura za ndio 258 sawa na asilimia 73.5% ya kura zote 351 zilizopigwa.
Kura za hapana ni kura 91 sawa na asimilia 25 ya kura zote, na kura zilizoharibika ni 2.
Majaliwa amemshukuru Rais  Magufuli kwa kumwamini na ameahidi kuwatumikia watanzania wote  bila kujali itikadi zao za vyama.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog