Home » » Jeshi la polisi mkoani iringa limewatahadharisha wananchi kuwa makini ili kuepukana na matukio ya unyang’anyi

Jeshi la polisi mkoani iringa limewatahadharisha wananchi kuwa makini ili kuepukana na matukio ya unyang’anyi


Jeshi la polisi mkoani iringa limewatahadharisha wananchi kuwa makini ili kuepukana na matukio ya unyang’anyi wa kutumia silaha.



Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa polisi mkoa wa iringa RPC RAMADHANI ATHUMANI MUNGI alipokuwa akizingumza na nuru fm juu ya kuzuia unyang’anyi wa kutumia silaha kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.



Aidha kamanda MUNGI ameyataja na kuyatahadharisha baadhi ya maeneo kuwa makini na vitendo vya unyang’anyi wa kutumia silaha ni pamoja na kwenye mabenki, na maduka ya kubadilisha fedha.



Akizungumzia namna ya kuepukana na matukio hayo kamanda mungi amesema kuwa ni pamoja na wafanyabiashara kupeleke benki na kuacha kukaa nazo majumbani mwao.

MWISHO
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog