Home » » WAWILI WAFARIKI DUNIA MKOANI IRINGA KATIKA MATUKIO TOFAUTI LIKIWEMO LA MMOJA KUCHOMWA NA KITU CHENYE NCHA KALI

WAWILI WAFARIKI DUNIA MKOANI IRINGA KATIKA MATUKIO TOFAUTI LIKIWEMO LA MMOJA KUCHOMWA NA KITU CHENYE NCHA KALI



Watu wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti likiwemo la mtu mmoja mkazi wa mtwivila kuuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali shingoni na watu wasiojulkana manispaa ya iringa.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa iringa RPC RAMANDANI ATHUMANI MUNGI amesema kuwa tukio hilo limetokea katika eneo la TRM Minyarani kata ya mkimbizi.

Katika tukio la pili kamanda MUNGI ameongeza kuwa mtu mmoja amefariki dunia katika ajali baada ya kugongwa na pikipiki eneo la mnazi mmoja kata ya Kitwiru.

Awali kamanda mungi ameongeza kuwa jeshi la polisi  linaendelea na uchunguzi ili kuwakamata waliohusika kufanya mauaji ya JEOPHREY HARDSON.


MSIKILIZE KAMANDA MUNGI HAPA BONYEZA PLAY.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog