
Kikao cha Bunge kwa leo November 19 2015
kimemalizana na kile ambacho kilikuwepo kwenye Ratiba ya Bunge… kwanza
ilikuwa ni kutajwa jina la Waziri Mkuu pamoja na kumthibitisha, hilo
limekamilika… kingine ilikuwa kumchagua na kumwapisha Naibu Spika wa
Bunge, nalo limefanyika.
0 comments:
Post a Comment