|
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
|
|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA
HABARI
UCHAGUZI
WA UBUNGE NA UDIWANI ULIOAHIRISHWA KUTOKANA NA VIFO VYA WAGOMBEA
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inawatangazia wananchi wote
kuwa Uchaguzi wa Ubunge na Udiwani katika Majimbo na Kata ambazo hazikufanya Uchaguzi
tarehe 25 Octoba 2015 kwa sababu za vifo vya wagombea sasa Uchaguzi huu
utafanyika tarehe 22 Novemba 2015; 13 Desemba, 2015 na 20 Desemba, 2015.
Majimbo, Kata na tarehe watazofanya Uchaguzi ni kama
ifuatavyo:
22
Novemba 2015
Na.
|
JIMBO
|
MKOA
|
1.
|
LUSHOTO
|
TANGA
|
2.
|
ULANGA
MASHARIKI
|
MOROGORO
|
22
Novemba 2015
Na
|
KATA
|
HALMASHAURI
|
1.
|
MULEBA
|
MULEBA
KUSINI
|
2.
|
UYOLE
|
MBEYA
MJINI
|
3.
|
BUKENE
|
SHINYANGA
|
4.
|
MSINGI
|
MKALAMA
|
5.
|
BOMANG’OMBE
|
HAI
|
7.
|
KASULO
|
NGARA
DC
|
8.
|
BUKENE
|
SHINYANGA
DC
|
13
Desemba 2015
Na.
|
JIMBO
|
MKOA
|
1.
|
ARUSHA
MJINI
|
ARUSHA
|
2.
|
HANDENI
MJINI
|
TANGA
|
13 Desemba
2015
Na
|
KATA
|
HALMASHAURI
|
1.
|
MVOMERO
|
MVOMERO
DC
|
20
Desemba 2015
Na.
|
JIMBO
|
MKOA
|
1.
|
LUDEWA
|
NJOMBE
|
2.
|
MASASI
MJINI
|
MTWARA
|
-
Vituo vya kupigia Kura ni
vile vilivyotumika wakati wa upigaji Kura za Urais Oktoba 25, 2015
-
Vituo vitafunguliwa saa
1:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni.
-
Wanaoruhusiwa kupiga Kura
ni wale walio na kadi za Mpiga Kura na wamo katika Daftari la Kudumu la Wapiga
Kura.
IMETOLEWA
NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
Kailima, R. K
MKURUGENZI
WA UCHAGUZI
0 comments:
Post a Comment