Home » » JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UCHAGUZI WA UBUNGE NA UDIWANI ULIOAHIRISHWA TAREHE 25 OKTOBA, 2015

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UCHAGUZI WA UBUNGE NA UDIWANI ULIOAHIRISHWA TAREHE 25 OKTOBA, 2015



JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UCHAGUZI WA UBUNGE NA UDIWANI ULIOAHIRISHWA TAREHE 25 OKTOBA, 2015

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inawatangazia wananchi wote kuwa Uchaguzi wa Ubunge na Udiwani katika Jimbo na Kata ambazo hazikufanya Uchaguzi tarehe 25 Octoba 2015 kwa sababu mbalimbali isipokuwa kifo, Uchaguzi huu sasa utafanyika tarehe 15 Novemba na tarehe 13 Decemba 2015.  

Jimbo na Kata zitakazo husika ni kama ifuatavyo:

15 Novemba 2015
Na.
JIMBO
MKOA
1.
LULINDI – MASASI DC   
MTWARA




15 Novemba 2015
Na
KATA
HALMASHAURI
1.
KILOLENI
URAMBO DC
2.
MALAMBO
NGORONGORO DC
3.
NGARESERO
4.
MIZIBAZIBA
NZEGA DC
5.
TONGI
6.
LUDETE
GEITA
7.
BUKULA
RORYA
8.
BUPAMWA
KWIMBA DC
9.
MWAMBANI


CHUNYA DC
10.
ITEWE
11.
MKOLA
12.
MBUYUNI
13.
ISEBYA
MBOGWE DC
14.
MATONGO
BARIADI DC
15.
MAJENGO
KOROGWE DC
16.
SONGWE
KILINDI DC
17.
MKONGOBAKI
LUDEWA DC
18.
MAHANJE
MADABA DC
19.
KAGERA
KIGOMA UJIJI
20.
MILEPA
SUMBAWANGA
21.
RUJEWA
MBARARI DC
22.
MAGAMBA
MPANDA DC
23.
MKONGO GULIONI
NAMTUMBO
24.
LISIMONJI
25.
SARANGA
KINONDONI

13 Decemba 2015
Na
KATA
HALMASHAURI
1.
IPALA
DODOMA DC
2.
NYAMILOLELWA
GEITA DC

-         Vituo vya kupigia Kura ni vile vilivyotumika wakati wa upigaji Kura za Urais Oktoba 25, 2015
-         Vituo vitafunguliwa saa 1:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni.
-         Wanaoruhusiwa kupiga Kura ni wale walio na kadi za Mpiga Kura na wamo katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

NB:  Kumbuka Uchaguzi katika Jimbo la Kijitoupele Zanzibar utafanyika baadaye.

IMETOLEWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI


Kailima,R.K
MKURUGENZI WA UCHAGUZI
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog