Home » » Rais Magufuli ateua mwingine Ukuu wa Wilaya.

Rais Magufuli ateua mwingine Ukuu wa Wilaya.

Baadhi ya wilaya ziliachwa wazi na Wakuu wa Wilaya baada ya kuteuliwa katika nafasi zingine za uongozi,  April 18 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amemteua Hamphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mkoani Mara.
Polepole anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Kamishna Msadizi mwandamizi wa polisi (Mstaafu) Zelothe Steven ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa. Uteuzi wa Hamphrey Polepole umeanza leo tarehe 18 Aprili, 2016.
Humphrey-Polepole
Humphrey Polepole
polepole
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog