Home » » AFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA NA RISASI ZA GOLOLI MKOANI IRINGA.

AFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA NA RISASI ZA GOLOLI MKOANI IRINGA.

Watu wawili wamefariki dunia mkoani iringa akiwemo mkazi mmoja wa kijiji cha HOLO, aliyejulikana kwa jina la HONOGELO NYATO kuuawa kwa kupigwa na risasi za gololi.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa iringa PETER KAKAMBA amesema kuwa tukio hilo limetokea katika kijiji hicho nakuongeza kuwa watu waliohusika na tukio hilo wanatafutwa.


Katika tukio la pili kamanda KAKAMBA amesema kuwa mwanafunzi wa shule ya msingi nzihi amefariki dunia baada ya kugongwa na pikipiki.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog