kamanda wa polisi mkoa wa iringa ramadhani mungi.
Watu wawili
wamefariki dunia katika matukio mawili
tofauti mkoani Iringa likiwemo la mtembea kwa miguu mmoja kugongwa na
gari.
Akithibitisha
kutokea kwa ajali hiyo iliyotokea katika eneo la KILIMAHEWA kijiji cha IFUNDA,kamanda
wa polisi mkoa wa Iringa ACP RAMADHAN MUNGI amesema ajali hiyo imesababishwa na
mwendokasi wa dereva na kusababisha kifo cha mtoto wa miaka 8 alietambulika kwa
jina la GOODLUCK MLOWE .
Katika tukio
la pili kamanda MUNGI amethibitisha kifo cha mkulima mmoja mkazi wa kijiji cha
Nyamahana tarafa ya idodi, aliejiua kwa kujipiga risasi na kwamba chanzo cha
kifo bado kinachunguzwa.
sauti itakujia muda wowote kuanzia sasa.
MWISHO



0 comments:
Post a Comment