Home » » Serikali imetakiwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa chuo kwa wakati ili kuwawezesha wanafunzi hao kumudu mahitaji yao ya msingi pindi wawapo vyuoni.

Serikali imetakiwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa chuo kwa wakati ili kuwawezesha wanafunzi hao kumudu mahitaji yao ya msingi pindi wawapo vyuoni.

RAIS WA CHUO CHA MKWAWA BWANA BAKARI IBRAHIMU .


Serikali imetakiwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa chuo kwa wakati ili kuwawezesha wanafunzi hao kumudu mahitaji  yao ya msingi pindi wawapo vyuoni.
Hayo yamesemwa na BAKARI IBRAHIMU ambaye ni mwanafunzi wa chuo chuo kikuu  cha Mkwawa kilichopo manispaa ya Iringa lakini pia ni Rais wa chuo hicho alipokuwa akizungumza na Nuru fm ambapo amesema kuwa wanafunzi wengi wa chuo wanatoka katika familia zenye maisha duni.
Aidha BAKARI ameongeza kuwa licha ya kuwa wamepokea majina ya mikopo ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza  chuoni hapo bado kuna wanafunzi ambao hawajapata mikopo hiyo.

Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog