Home » » Entertainment ‘Cinderella’ ya Alikiba iliuza Mil. 200, matumizi je? swali la ‘Kidoti’? Haupendi wimbo wake? Majibu haya..

Entertainment ‘Cinderella’ ya Alikiba iliuza Mil. 200, matumizi je? swali la ‘Kidoti’? Haupendi wimbo wake? Majibu haya..



Kwenye show ya XXL alhamisi ya November 12 2015 mgeni aliyealikwa alikuwa ni Alikiba ambaye alikuja kuzindua mdundo wa ngoma mpya ambayo wameshirikiana na Christian Bella… lakini kuna story za zamani hivi nazo ziliguswa pia.
Unajua Alikiba akiisikia ngoma ya ‘Usiniseme’ anakumbuka wapi? >>>Nakumbuka safari zangu kwenda G Records, ilikuwa ni lazima niende nikashinde na Producer wangu KGT kila siku hata kama sina kazi
Ana mpango wa kuachia album? >>> ‘Nitatoa album mwakani kwa mfumo wa digital nikimpata msambazaji mzuri… nataka kufanya album kali sio nijaze tu nyimbo kwenye album… nakumbuka album ya kwanza niliyonunua ilikuwa album ya AY, halafu nikanunua ya Matonya… ni kuonesha tu kwamba najali muziki
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog