Ni Novemba 7, 2015 ambapo Mkuu wa wilaya ya kinondoni, Paul Makonda
aliandaa party la kuwapongeza jeshi la Polisi pamoja na vyombo vingine
vya ulinzi iliyofanyika katika uwanja wa Police Oysterbay Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni alieleza sababu za kuwapongeza jeshi la polisi na kusema…’Hakika
wanastahiri heshima na pongezi kubwa na uzalendo wao na utayari wao
katika kulinda na kudumisha amani. Kwa sababu hiyo mimi Mwk wa kamati ya
ulinzi wilaya ya kinondoni nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kuwafanyia
part kama sehemu ya kutambua mchango wao, itakayofanyika jioni hapa
Police Osterbay. Ombi langu kwa watanzania tuendelee kuwatia moyo watu
wote wanaotimiza kazi zao kwa moyo mkunjufu’ – Paul Makonda.

















0 comments:
Post a Comment