Home » » Hapa ni Christian Bella pembeni mkongwe Koffi Olomide ndani ya studio.. Kitu kipya?

Hapa ni Christian Bella pembeni mkongwe Koffi Olomide ndani ya studio.. Kitu kipya?


Kama umekuwa karibu na mtandao wa Instagram utakuwa umeshuhudia mastaa wengi wakipost vipande vya video ya wimbo mpya wa Koffi Olomide unaoitwa ‘Selfie’.
Koffi ni mkongwe wa muziki toka Congo, ni moja ya majina machache yaliyodumu kwenye muziki long time sana… Hakuna mwenye wasiwasi kuhusu ubora na ukali wa Christian Bella inapokuja kwenye suala la muziki wake.
Kuna picha amepost Christian Bella kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na Koffi ndani ya studio halafu caption inasomeka hivi >>>> ‘Nikiwa studio na big artist @koffiolomide_officiel .. Kazi nzuri inakuja‘>>> @bellachristian1
Hiyo ni dalili nzuri kwamba collabo ya Koffi Olomide na Christian Bella ndio story nyingine kubwa inayokuja any time kuteka vichwa vya habari za burudani.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog