Rais wa awamu ya tano Dk. John Magufuli ameendelea na operesheni yake ya kuhakikisha anaondoa matumizi yasiyo ya lazima katika taasisi mbalimbali za Serikali.
Ukiachia kufuta safari zisizo za lazima kwa watumishi wa umma tayari
amewaondoa baadhi ya watendaji ambao wamekutwa na makosa mbalimbali
yaliyoliletea Taifa hasara.
Leo makampuni mbalimbali ya umma na taasisi za Kiserikali zimekutaka
katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es salaam kuzungumzia mikakati yao
kufuati agizo la rais la kuondoa matumizi yasiyo ya lazima.
Lawrance Mafuru...
Taasis za umma zilivyojipanga kutekeleza maagizo ya Rais MAGUFULI…
Posted by Unknown
Posted on 6:04 PM
with No comments
Rais Magufuli kaamua Bilioni zilizokua zitumike sherehe za uhuru 9 Dec matumizi yake yawe kama ifuatavyo.
Posted by Unknown
Posted on 6:02 PM
with No comments

Kwa sababu tayari Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza
kwamba sherehe za Uhuru siku ya December 09 2015 hazitokuwepo, ninayo
taarifa nyingine kuhusu maamuzi mengine ya pesa ambazo zilitengwa kwa
shughuli hiyo.
Taarifa kutoka Ikulu imetolewa kwamba
fedha ambazo zilitengwa kwa ajili ya kutumika kugharamia sherehe za siku
ya Uhuru ambazo zingefanyika December 09 2015, zitumike kufanya upanuzi
wa barabara ya Mwenge hadi Morocco iliyopo Dar es salaam yenye urefu wa
kilometa 4.3 kwa kuongeza njia za barabara za lami.
Taarifa hiyo ya Ikulu imesema tayari
fedha...
Hakitupwi kitu hapa !!… zile chupa unaziona takataka, Nigeria wamejengea mpaka nyumba.. (+Pichaz)
Posted by Unknown
Posted on 6:00 PM
with No comments

Maisha yanabadilika kila siku, zamani
ilikuwa ukikutana na chupa au makopo ya maji au juice unayaona takataka…
sasahivi ni dili na watu wameweka nguvu zao kabisa kukusanya makopo na
kuyauza !!
Nigeria wamefanya kitu kingine zaidi mtu wangu, umewahi kuona nyumba za makopo??!!
Nigeria wamefanya kitu hicho, wamejenga nyumba kwa makopo ambapo ndani
ya makopo hayo kumejazwa mchanga halafu makopo yanapangwa vizuri kabisa
mpaka inakuwa nyumba ya kuishi.
Sifa nyingine kubwa za hizi nyumba ni kwamba zina uwezo wa kuzuia risasi na pia...
Matatu niliyoyapata kwenye hukumu ya Sheikh Ponda Morogoro leo…
Posted by Unknown
Posted on 3:56 PM
with No comments

Hii taarifa tayari imeripotiwa
mitandaoni na kwenye vyombo vingi vya habari kutoka Mkoa wa Morogoro
ambapo inahusu kutolewa kwa hukumu ya Sheikh Issa Ponda ambaye ameachiwa huru baada ya kukutwa hana hatia.
Sheikh Issa Ponda alishtakiwa
kwa makosa matatu ikiwemo kukiuka amri ya Mahakama kufanya mkusanyiko
pamoja na kutoa maneno ya uchochezi… Mawakili wa Sheikh Issa Ponda wamesema waliamini haki itatendeka japo imechelewa.
Baada ya hukumu hiyo, Sheikh Ponda aliondoka kuelekea kwenye Msikiti wa ‘MUNGU Mmoja Dini Moja‘ uliopo...
WAWILI WAFARIKI DUNIA MKOANI IRINGA KATIKA MATUKIO TOFAUTI LIKIWEMO LA MMOJA KUCHOMWA NA KITU CHENYE NCHA KALI
Posted by Unknown
Posted on 3:47 PM
with No comments

Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
Watu wawili wamefariki dunia katika
matukio mawili tofauti likiwemo la mtu mmoja mkazi wa mtwivila kuuawa kwa kuchomwa
na kitu chenye ncha kali shingoni na watu wasiojulkana manispaa ya iringa.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo
kamanda wa polisi mkoa wa iringa RPC RAMANDANI ATHUMANI MUNGI amesema kuwa
tukio hilo limetokea katika eneo la TRM Minyarani kata ya mkimbizi.
Katika tukio la pili kamanda...
Waziri Mkuu: Tumedhamiria Kuwatumikia Watanzania...Tutahakikisha Mapato Ya Taifa Yanatumika Kwa Maslahi ya Watanzania Wote
Posted by Unknown
Posted on 8:20 AM
with No comments

WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuhakikisha kila kinachokusanywa kama mapato ya nchi kinatumika kwa maslahi ya Watanzania wote na si kwa manufaa ya wachache.Alitoa kauli hiyo jana mchana (Jumapili, Novemba 29, 2015) wakati akifunga maadhimisho ya miaka 20 ya Dayosisi ya Pwani ya Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) kwenye ukumbi wa PTA, viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.“Serikali imeanza kukabiliana na upotevu wa mapato ya Serikali na kuepuka matumizi yasiyo ya lazima ya fedha za umma. Nia yetu ni kuhakikisha kila...
Lowassa, Mbowe Watua Alipouawa Alphonce Mawazo
Posted by Unknown
Posted on 8:18 AM
with No comments

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na aliyekuwa mgombea urais wa chama hicho Mhe. Edward Lowassa pamoja na viongozi mbalimbali wakitazama eneo ambalo Alphonce Mawazo alifanyiwa kitendo ya kinyama cha kukatwakatwa mapanga na watu wanaosemekana ni wafuasi wa CCM ikiwa ni umbali mchache kutoka kutuo cha polisi na ofisi za CCM katika barabara kuu inayoelekea Geita kutokea Busanda.
Umati mkubwa wa wakazi wa Jimbo la Busanda waliojitokeza kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mgombea ubunge na M/kiti wa Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo.
Mwili wa Marehemu Alphonce mawazo...
Magazeti ya Tanzania November 30 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Posted by Unknown
Posted on 8:15 AM
with No comments