Home » » Tazama VIDEO Hii Kuona Kilichotokea Leo Wizara ya Fedha baada ya Rais Kufanya ziara ya Kushtukiza

Tazama VIDEO Hii Kuona Kilichotokea Leo Wizara ya Fedha baada ya Rais Kufanya ziara ya Kushtukiza


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembea kwa miguu kutoka Ikulu hadi katika Wizara ya Fedha na kukagua utendaji kazi wa wafanyakazi wa  ofisi hizo, hata hivyo alikuta baadhi ya maofisa  wakiwa nje ya ofisi zao. 
Tazama  Video  hii  kuona  kilichotokea


Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog