Home » » Picha na Video 5 za Tukio Zima la Rais Magufuli Alipofanya Ziara ya Kushtukiza Leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

Picha na Video 5 za Tukio Zima la Rais Magufuli Alipofanya Ziara ya Kushtukiza Leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

Picha na Video 5 za Tukio Zima la Rais Magufuli Alipofanya Ziara ya Kushtukiza Leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili


Rais John Magufuli leo amefanya ziara ya ghafla katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa lengo la kujionea uhalisia wa huduma inayotolewa.

Kama ilivyokuwa alipofanya ziara ya kushtukiza katika Wizara ya Fedha wiki iliyopita, Rais Magufuli alikutana na viongozi wa hospitali hiyo na kuongozana nao katika maeneo ambayo aliyachagua yeye.

Rais  amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa wagonjwa hususan wanaolala chini.
 
 Pia amekasirishwa na hali ya kutokujali wala kushughulikia vifaa vya kufanyia kazi ambapo amekuta mashine muhimu za uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI na CT-SCAN zikiwa hazifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili sasa, ilihali mashine kama hizo katika Hospitali za binafsi zinafanya kazi na wagonjwa wanaelekezwa kwenda kutafuta huduma huko

Tazama  Video  hizi  kuona  ilivyokuwa





  
Baada ya Video hizi, sasa tazama matukio yote katika picha
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog