Home » »

TUKIO LA KINYAMA:MWENYEKITI AKATWA KICHWA NA SEHEMU ZA SIRI KISHA KUWEKWA KWENYE SUFURIA MKASA MZIMA.

Ni Tukio la kuskitisha sana ktk kijiji cha songambele wilayan MLELE mkoan KATAVI watu wasiofahamika wamemvamia mwenyekiti wa kijiji cha songambele na kisha kutenganisha kichwa na kiwiliwili na pia sehemu zake za siri na kisha kukata mkono wake mara mbili baada ya kufanya kitendo hicho walichukua viungo walivyokata kutoka kwa mwenyekiti huyo na kisha kuvitia kwenye sifuria wakaweka maji na kisha kubandika kwny moto n kuanza kuvipika baada ya Tukio Hilo watu hao walitokomea sehemu isiyofahamika polisi wilayan MLELE wanaendelelea n uchunguz kubaini wahusika wa tukio Hilo. Tukio Hilo limetokea leo majira ya saa saba ucku hayo ndo yaliyojir wilayan kwetu MLELE

Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog