Home » » TCRA KUZIMA MITAMBO YA ANALOGIA MKOA WA IRINGA IFIKAPO JANUARY 31 SIKU YA JUMAMOSI

TCRA KUZIMA MITAMBO YA ANALOGIA MKOA WA IRINGA IFIKAPO JANUARY 31 SIKU YA JUMAMOSI




 Mamlaka ya mawasiliano Tanzania Tcra inatarajia kuzima mitambo ya analogia mkoani Iringa na kuwasha ya digitali ikiwa ni mwendelezo wa kuzima mitambo hapa nchini.
akizungumza na mtandao huu naibu wa idala ya utangazaji tcra Fredrick Ntobi  amesema kuwa kwa mara ya kwanza nchi hii kuingia katika mfumo wa digitali ilikuwa 31.12.2012 ambapo amesema walianza na mkoa wa dare-esalam na mikoa ya kanda ya ziwa na kufuatiwa mikoa mingine ambayo inaendelewa kuzi mwa mitambo hiyo.
aidha amesema kuwa hadi sasa wamekwisha toa elimu kwa jamii faida za kuingia katika mfumo huo wa digitali,
Hata hivyo amewatoa wasiswasi wanainchi mkoani iringa juu ya namna baada ya kuzimwa mitambo hiyo na kuwasihii kununua vingamuzi vitakavyo tumika na kwamba wamekagua maduka yote na kukuta vingamuzi vipo vya kutosha kwa wanainchi wote.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog