Home » » Baadhi ya dereva bodaboda wa manispaa ya iringa wameewalalamikia baadhi ya polisi

Baadhi ya dereva bodaboda wa manispaa ya iringa wameewalalamikia baadhi ya polisi

         Baadhi ya dereva bodaboda wa manispaa ya iringa
   Baadhi ya dereva bodaboda wa manispaa ya iringa 

na fredy mgunda

Baadhi ya dereva bodaboda wa manispaa ya iringa wameewalalamikia baadhi ya polisi  ambao wanatumia pikipiki alimaarufu kama tigo  kwa kitendo cha kufukizia bodaboda jambo ambalo huwenda ikiwa ni chanzo cha kusababisha ajari bararani.

wakizungumza na nuru fm katika vituo tofauti tofauti madereva hao wamesema ni vyema polisi waka kaa katika maeneo ya maarumu ya kazi tofauti na wanavyo fanya.

Aidha wamelalamikia vitendo vya kunyanyaswa na kudharirishwa na baadhi ya polisi  hao ikiwa ni pamoja na kupigwa pasipo kuwa na sababu maarumu.

Akijibia malalamiko hayo   LEOPARD FUNGU kamanda wa kikosi cha usala barabarani RTO mkoa wa iringa amesema kazi za  askari ni kuhakikisha analinda hali ya amani na usalama na kuongeza kuwa swala la pikipiki imekua ni ajira kubwa kwa vina lakini pia imekuwa ni janga kubwa kwa baadh madereva hao kutokana na kuto fuata sheria .
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog