AIBU KUBWA! MUUZA GENGE ACHEZEA KICHAPO KWA KUNASWA NA MKE WA MTU Aibu kubwa! Muuza genge mmoja kwenye Soko la Mji Mpya mjini hapa ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akichezea kichapo kwa madai ya kunaswa na mke wa mtu kisha kutembezwa mtupu mtaani. Muuza genge aliyechezea kichapo baada ya kunaswa na mke wa mtu na kutembezwa mtupu mtaani. Fumanizi hilo lililojaza umati wa jinsi na rika zote wakiwemo watoto lilijiri katikati ya wiki hii, maeneo ya Mji Mpya ndani ya chumba na kitanda cha wanandoa hao.  Kikiwa kwenye mishe zake, kile kikosi kazi cha Oparesheni...
KIKONGWE ALIYEKUTWA UCHI KWENYE NYUMBA YA MTU HUKO SHINYANGA AITAKA SERIKALI KUACHA KUKURUPUKA NA WAPIGA RAMLI. SERIKALI imeshauriwa kutekeleza kwa uangalifu mkubwa adhima yake ya kupambana na waganga wa jadi wanaojihusisha na upigaji ramli zinazodaiwa ni chanzo cha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albinism) kwa vile hatua hiyo inaweza kusababisha madhara makubwa kwa taifa.   Ushauri huo umetolewa na mmoja wa wazee maarufu mjini Shinyanga, Iddi Juma ambapo amesema serikali haipaswi kukurupuka katika kushughulikia suala la waganga wa jadi kwa vile baadhi yao wana umuhimu...
TAARIFA JUU MEYA MANISPAA MOROGORO NA WAANDISHI WA HABARI WAPATA AJALI Gari la Meya likiwa halitamaniki. Wasamalia wakimuwahisha Hospital, Mmoja wa majeruhi mara baada ya kupata ajali eneo la Mzambarauni Darajani -Msamvu barabara kuu ya Moro- Dar na Basi la Abiria aina ya Scania yenye namba za usajili T 831 CEH (Happy Africa ),iliyokuwa ikitokea mkoani Njombe kwenda Dar es Salaam . Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe (wa kwanza kushoto) akiwa na Mkuu wa wilaya ya Morogoro , Said Amanzi , wakipita eneo ambalo gari la namba SM 4151 Nissan iliyokuwa ikitumiwa na Meya...

SOMA HAPA MAGAZETI YA LEO

SOMA HAPA MAGAZETI YA LEO
. Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...
Ziko hapa kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo January 29, 2015 . Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ....

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog