KWAYA YA KWETU PAZURI WAKO NCHINI ZAMBIA Ambassadors of Christ wakiimba katika tamasha la pasaka jijini Mbeya mapema mwaka huu. Kwaya ya Ambassadors of Christ kutoka Kigali nchini Rwanda maarufu kama Kwetu Pazuri wapo nchini Zambia kwa ziara ya siku tano ukiwa ni mwaliko wa kanisa la Wasabato Libala la jijini Lusaka ambapo kwaya hiyo itashiriki katika maonyesho makubwa matatu nchini humo yanayotarajiwa kuanza siku ya jumamosi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kundi hilo matamasha hayo ambayo yatakuwa na viingilio ili kusaidia ujenzi na huduma ya kanisa la Libala yatafanyika...
BINTI ATISHIWA KUCHINJWA NA KUSILIMISHWA KWA NGUVU NIGERIA Hajja ©Reuters/Joe Brock "Nilipolia walinipiga, na nilijaribu kuongea pia walinipiga. Waliniambi aninlazima nisilimu kuwa Muislamu ili wasiniue". Hajja anasimulia, binti mwenye umri wa miaka 19, ambaye amepona kwenye mikono ya kundi la kigaidi lenye uhusiano na al-Qaeda, Boko Haram nchini Nigeria. Milima ya Gwoza ndiko ambako kijiji cha binti Hajja kinapatikana, ambapo kuna siku alikuwa kwenye shughuli za kawaida alipotekwa na kundi hilo, na kulazimishwa kuzunguka nalo kwa miezi mitatu huku akiwapikia na kuwafulia nguo...
CHRISTINA SHUSHO ALIVYOWEKA MAMBO SAWA CCC JUMAPILI Siku ya jumapili tarehe 24 November, 2013 katika Ukumbi wa Kanisa la CCC Upanga Mwanamuziki wa injili aliyejijengea jina katika ukanda wa Afrika Mashariki na Mwanamuziki anayeongoza kwa kutwaa tuzo nyingi kuliko wanamuziki wengine wa injili inchini Tanzania Christina Shusho amefanya Live Recording ya aina yake katika Ukumbi huo. Live Recording hiyo ilianza majira ya saa 12 ilikuwa nikiwango cha kimataifa na Iliandaliwa kwa ustadi Mkubwa kulinganisha na matamasha mengine ya Injili hapa Tanzania. Christina Shusho katika Nyimbo zake hizo...
ANGALIA PICHA ZA SHANGILIENI KWAYA WAKIWA AFRIKA YA KUSINI KIHUDUMA Kwaya ya Tumaini Shangilieni toka St.James Kaloleni Arusha inatarajiwa kuwasili siku ya leo ikitokea nchini Afrika ya kusini ambako ilikwenda katika kanisa la Anglican kitongoji cha Tembisa jijini Johannesburg kihuduma. Kwaya hiyo ambayo iliondoka na ndege ya Fastjet siku ya ijumaa, imefanikiwa kufikia lengo lililowapeleka nchini Afrika ya kusini kumuhubiri Kristo. Wakati huohuo taarifa ambazo GK imezipata ni kwamba kwaya hii inatarajiwa kuwepo usharika wa Kijitonyama Lutheran jijini Dar es salaam siku ya tarehe 8...
YAYA TOURE AITISHIA AMANI CHELSEA, AWAAMBIA REKODI YAO IKO HATARINI Home » Unlabelled » YAYA TOURE AITISHIA AMANI CHELSEA, AWAAMBIA REKODI YAO IKO HATARINI KIUNGO Yaya Toure anaamini Manchester City inaweza kuvunja rekodi ya mabao ya msimu katika Ligi Kuu England msimu huu. Kiungo huyo wa nguvu amempa jeuri kocha Manuel Pellegrini juu ya uwezo wa kushambulia unaoleta matumaini ya taji kwa kusema rekodi ya Chelsea iko hatarini. Kocha Carlo Ancelotti akiwa na kikosi mariadi msimu huu 2009-10 aliiwezesha Chelsea kufunga mabao 103 na kutwaa taji misimu minne iliyopita. Jitu la...
MAVETERANI KENYA NA BARA KUKUMBUSHIA CHALLENGE YA ENZI HIZO, HUO MUZIKI WA HARAMBEE USIUPIMIE, KUNA MAHMOUD ABBAS, PETER DAWO, J J MASIGA, JUA CALI NA KADENGE, STARS… Home » Unlabelled » MAVETERANI KENYA NA BARA KUKUMBUSHIA CHALLENGE YA ENZI HIZO, HUO MUZIKI WA HARAMBEE USIUPIMIE, KUNA MAHMOUD ABBAS, PETER DAWO, J J MASIGA, JUA CALI NA KADENGE, STARS… Na Mahmoud Zubeiry, Nairobi WACHEZAJI wa zamani wa Kenya ‘Wazee wa Kazi’ wametaja kiksi cha nguvu ambacho kinamenyana na wakongwe wenzao wa Bara kutia nakshi michuano ya mwaka huu ya Challenge. Kikosi hicho chini ya kocha George Sunguti...
BARA KUJIFUA STIMA PAMOJA NA SUDAN, ETHIOPIA LEO Home » Unlabelled » BARA KUJIFUA STIMA PAMOJA NA SUDAN, ETHIOPIA LEO Na Mahmoud Zubeiry, Nairobi TIMU zinazoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge ambayo mwaka inafanyika hapa Nairobi, Kenya ikidhaminiwa na Serikali, zitafanya mazoezi katika viwanja vijnne tofauti leo.    Viwanja hivyo ni Stima Club, Chuo Kikuu cha Strathmore, Uwanja wa City Stadium Ktuo cha Kimataifa cha Michezo cha Moi (MISC), Kasarani. Uchovu umeisha; Kocha wa Bara, Kim Poulsen leo atakiongoza kikosi chake mazoezini...
900 waliuawa katika vita dhidi ya M23 Jeshi la congo linasema kuwa mapigano na waasi wa M23 yamesababisha vifo vya zaidi ya wapiganaji 900 tangu mwezi Mei. Wanajeshi wa DRC Msemaji wa jeshi Genarali Jean-lucien Bahuma alisema kuwa takriban wanajeshi 200 na zaidi ya wapiganaji 700 waliuawa katika mapigano katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Wanajeshi watatu wa amani wa UN pia waliuawa kwenye makabiliano hayo. Pia wapiganaji 72 wa Rwanda na wapiganaji 28 wa Uganda waliuawa. Mwanzoni mwa mwezi huu, waasi wa M23 walitolewa na jeshi la serikali iliyoungwa...
MCHUNGAJI IMELDA KISSAVA WA K.K.K.T DAYOSISI YA IRINGA AKIZIKWA SASA USAHRIKA WA KIHESA Picha na kurwa ...
BALOTELLI AZUA LINGINE ITALI BAADA YA KUTWEET "THIS IS THE END"   BALOTELLI AZUA LINGINE ITALI BAADA YA KUTWEET "THIS IS THE END" MSHAMBULIAJI Mario Balotelli amewachangasha tena mashabiki wake leo baada ya kutweet 'this is the end' (huu ni mwisho) saa kadhaa baada ya kukosa penalti AC Milan ikilazimishwa sare ya 1-1 na Genoa. Mshambuliaji huyo hatari, alitweet ujumbe huo Kiingerezamajira ya saa 11 Alfajiri kwa sa za kwao katika akaunti yake ya @finallymario. Pamoja na hayo, saa sita baadaye akatuma ujumbe mwingine wa tweet Kitaliano, uliosomeka: ‘Forza Milan comunque e sempre.’...
MAN CITY YAIFUMUA SPURS 6-0, JESUS NAVAS ALIFUNGUA BIASHARA NZURI SEKUNDE YA 14 TU NA AKAIFUNGA DAKIKA YA 90   MAN CITY YAIFUMUA SPURS 6-0, JESUS NAVAS ALIFUNGUA BIASHARA NZURI SEKUNDE YA 14 TU NA AKAIFUNGA DAKIKA YA 90 BAO la mapema sekunde ya 14 la Jesus Navas lilifungua biashara nzuri leo Man City ikiibuka na ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya Tottenham. Winga huyo wa Hispania, Navas alifunga bao la pili la mapema msimu huu kufuatia makosa ya kipa wa Spurs, Hugo Lloris. Sandro alijifunga dakika ya 34 kuipa bao la pili timu ya Manuel Pellegrini kaba ya Sergio...
KAMPUNI ya Simba Logistic Equipment Supply yazindua kifaa cha kuzimia moto kwa kurusha kiitwacho B KAMPUNI ya Simba Logistic Equipment Supply hivi karibuni ilizindua kifaa cha kuzimia moto kwa kurusha kiitwacho Bonex ambacho vinatumia kuzimia moto katika majumba, magari na sehemu nyinginezo. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya uzinduzi wa vifaa hivyo Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Simba Logistic Equipment Supply Co Limited, Fareed Nahdi alisema kuwa vifaa hivyo ni rahisi kutumika katika matukio mbalimbali ya kuzimia moto. Alisema kuwa havihitaji matengezo ya mara...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog