Home » »

HOFU YA FREEMASON YATANDA HUKO NGARA BAADA YA MMOJA KUPIGA NAMBA YA FREEMASON NA KUFARIKI



Mkazi mmoja wa Kabanga wilayani Ngara mkoani Kagera aliyefahamika kwa jina la vedasto kilosa amefariki kwa kujinyonga kwa kutumia shuka akiwa hospitali ya Murgwanza usiku wa kuamkia leo tarehe 14/4/2015.

Mdau wetu Ezra Essau ameandika hiki kwenye ukurasa wake wa Facebook 

"Ushirikina umehusika sana kwa wakazi wa kabanga mtakumbuka kuna siku vikaratisi vyilikutwa vimesambazwa asubuhi mnamo mwezi wa 11 mwaka jana vikidai kuwa vina namba za Freemason sasa jamaa inadaiwa alikichukua na kupiga zile namba tangu siku hiyo akawa anechanganyikiwa akili kwa juhudi za maombi alipona na kupata nafuu lakini Jumamosi hii alishikwa tena baada ya chakula alichokuwa amepika yaani wali gafla ulijaa wadudu waliotengeneza kitu kama kichuguu katikati hali iliyoshitua wengi kwani nn chakula kigeuke hivyo na gafla mtu ashikwe tena na uchizi. Ndipo alipelekwa hospitali na kisha jana amekutwa amejinyonga" 

Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog