APRIL 29 2015 MAGAZETI ya TANZANIA leo yameandika hizi kubwa >> Udaku,

APRIL 29 2015 MAGAZETI ya TANZANIA leo yameandika hizi kubwa >> Udaku,
. ...
MKE ACHINJWA KISA KWENDA SALUNI NA KUPENDEZESHWA, MAJIRANI WADAI ASINGEKUFA MKE ANGEKUFA MUME.. SIMULIZI YAO INASIKITISHA. Enzi za uhai wake, Mary Lucas (20) anaedaiwa kuchinjwa na mumewe. Tukio hilo lililoacha simulizi ya kushangaza miongoni mwa wanandoa na wanaotarajia kuingia, lilijiri Aprili 18, mwaka huu nyumbani kwa mwanaume huyo, Mtaa wa Mapinduzi ‘A’ Kata ya Duga jijini hapa. WANACHOKIJUA POLISI WA TANGA Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, ACP Zuberi Mwombeki alitangaza kwa waandishi wa habari kwamba, mauaji hayo yalitokea saa nne na nusu asubuhi ya Aprili 18 mwaka...
RAIS KIKWETE AZINDUA MELI MBILI ZA KIVITA ZA KIKOSI CHA WANAMAJI CHA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏. Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi meli mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015. Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015 Amiri...
Watanzania 26 Waliokuwa Afrika Kusini Warejea Nyumbani.......20 Wengine Kuhakikiwa na Kurejeshwa Kundi la Watanzania 25 limerejea nyumbani kutoka Afrika Kusini jana tarehe 26 Aprili, 2015 kufuatia mashambulizi ya wazawa dhidi ya wageni. Kundi hilo la kwanza kurejea nyumbani liliwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere saa 11 alfajiri na Ndege ya Fast Jet. Watanzania hao walikuwa wanaishi katika kambi za dharura za Isipingo na Phoenix zilizopo jijini Durban. Walisindikizwa kurudi nyumbani na Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika...
Zaidi ya Watu 900 Wadaiwa Kupoteza Maisha kwa Tetemeko la Ardhi Nchini Nepal TETEMEKO la ardhi limetokea nchini Nepal jana  na na kupoteza maisha ya watu  ya 900 na kuangusha Mnara wa Karne ya 19 Mjini, Kathmandu pamoja na kusababisha maporomoko ya theluji kutoka katika milima.  Taarifa zinadai kuna uharibifu katika maeneo ya nje ya kitovu cha tetemeko hilo lenye ukubwa wa kipimo cha richter cha 7.9 maili 50 kutoka Pokhara mji wa pili kwa ukubwa nchini Nepal.  Tetetemeko hilo la ardhi ni kubwa kabisa kuwahi kuikumba nchi hiyo katika...
Muuguzi amchapa mjamzito viboko......Ni wakati wa uchungu wa kujifungua, Mtoto afia tumboni. Muuguzi mmoja wa zahanati ya Muungano, Chamwino, mkoani Dodoma, amekumbwa na kashfa nzito baada ya kudaiwa kumchapa viboko mama mjamzito, wakati akiwa katika hali ya uchungu wa kujifungua na kusababisha mtoto aliyetaka kujifungua kufariki akiwa tumboni. Aidha, mama huyo ambaye kwa sasa amelazwa katika chumba cha uangalizi maalumu (ICU) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, hali yake inaelezwa kuwa mbaya. Mwanamke huyo, Mariamu Maroda, anadaiwa kulazwa kwenye chumba hicho...
KUTANA MWANAMKE PEKEE AMBAYE ANAENDESHA CHOMBO CHA KUTENGENEZEA BARABARA YA LAMI YA DODOMA IRINGA HAPA.                         hili ndo preva linaloendeshwa na mwanadada huyu                              hapa akiafanyiwa mahojiano na mmiliki wa blog hii ...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog