Home » » WAWILI WAFARIKI DUNIA MKOANI IRINGA SITA WAJERUHIWA.

WAWILI WAFARIKI DUNIA MKOANI IRINGA SITA WAJERUHIWA.

Watu wawili wamefariki dunia mkoani iringa katika tukio la ajali lililotokea katika kitongoji cha mlowa kata na tarafa ya mahenge wilaya ya kilolo mkoani iringa.
Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo kamanda wa polisi mkoani iringa ramadhani athumani mungi amesema ajali hiyo imesababishwa na gari la mwanainchi communication kutaka  kulipita roli ambapo watu wawili wamefariki papo hapo.

Aidha kamanda mungi amesema katika ajali hiyo pia kuna watu sita ambao wamejeruhiwa na wamelazwa katika hospitali ya mkoa wa iringa kwa ajili ya matibabu.



Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog